Mohamed Mbelwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 507 Reaction score 272 Jul 25, 2019 #1 Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
McFerson JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,166 Reaction score 2,322 Jul 25, 2019 #2 Hapo sasa
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jul 25, 2019 #3 Magufuli anamlia timing tu huyu,si punde atawapa raha
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jul 25, 2019 #4 Mohamed Mbelwa said: Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu. Click to expand... Huyu shida yake ni kuitoa nishai Simba tu hana lolote. Mtu ambaye ameweza kulikana andiko lake mwenyewe lililompatia PhD siyo wa kimtilia maanani.
Mohamed Mbelwa said: Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu. Click to expand... Huyu shida yake ni kuitoa nishai Simba tu hana lolote. Mtu ambaye ameweza kulikana andiko lake mwenyewe lililompatia PhD siyo wa kimtilia maanani.
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Jul 25, 2019 #5 Yule anaetumika pamoja nae kuivuruga simba leo kazuiwa na jeshi letu la polisi kwenye press yake na waandishi wa habari.
Yule anaetumika pamoja nae kuivuruga simba leo kazuiwa na jeshi letu la polisi kwenye press yake na waandishi wa habari.
B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,529 Reaction score 1,119 Jul 25, 2019 #6 Sehemu yotote ambapo nguvu za giza ndio zinaperfome watu hufanya mambo kwa kufuata mapepo yanataka nini!!!!! Nasikia kati ya waganga wale 900, hamsini wapo kwenye shirikisho la soka la miguu๐๐๐๐
Sehemu yotote ambapo nguvu za giza ndio zinaperfome watu hufanya mambo kwa kufuata mapepo yanataka nini!!!!! Nasikia kati ya waganga wale 900, hamsini wapo kwenye shirikisho la soka la miguu๐๐๐๐