maamuzi ya mwisho

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha
 
Smile huishi vituko mwana weye, haya sumu haikufaa wataka ukajilaze relini?
 
Mh!Sijaelewa ngoja ninywe uji kwanza!
 
Au yule jamaa ndo kapata kutunukiwa nishani mamy????

If so ol best
 
Smile,

Unataka kutafuta kazi ya short time?

Inaweza kulipa ila furaha yake ni short live...you will only smile just for a few minutes..lol!!

Babu DC!!
 
Smile,

Unataka kutafuta kazi ya short time?

Inaweza kulipa ila furaha yake ni short live...you will only smile just for a few minutes..lol!!

Babu DC!!
haijalishi babu maisha ni haya haya
nani ajuae nitaishi long
hiyo hiyo short inanitosha
i deserve to be happy now not in 20 years to come .
 
karibu sana , njia yako ni mimi, kiroho safi wacha watuone tumepotoka, ila sisi tunadunda tu
 
natumaini njia unayoiendea humkosei Muumba wako.............
 
Smile,

Unataka kutafuta kazi ya short time?

Inaweza kulipa ila furaha yake ni short live...you will only smile just for a few minutes..lol!!

Babu DC!!

Ndo kazi gani tena hizo Babu? Zinapatikana wapi?
 
Think are getting worse than I thought............
 
Nadhani hapa njia alochagua ni kuendelea kuwa single hadi anafika 50. Kila la kheri
 
Ndo kazi gani tena hizo Babu? Zinapatikana wapi?


Hata mie nilikuwa najaribu kutegua kitendawili cha Smile,

Ngoja kwanza atusimulie vizuri kile anachopanga kufanya ili tuendelee kubashiri!

Babu DC!!
 
..Njia sahihi ni kutubu dhambi zako na kumrudia Muumba wako. Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…