Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha