FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
kuna njia nimeamua kuiendea
........................
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha
.....pls dont Kill yourself bana, pliz I beg you Smile....xoxo
Swahiba,
Naomba umsome tena na tena Smile...akijiua hawezi kufikia hilo lengo (blue)!!
nyie mtaona matokeo najua mtanilaumu sana,na kuniona nimepotoka lakini ndo amani yangu ipo pale
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana