maamuzi ya mwisho

maamuzi ya mwisho

kuna njia nimeamua kuiendea
........................
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha

.....pls dont Kill yourself bana, pliz I beg you Smile....xoxo

Swahiba,

Naomba umsome tena na tena Smile...akijiua hawezi kufikia hilo lengo (blue)!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Swahiba,

Naomba umsome tena na tena Smile...akijiua hawezi kufikia hilo lengo (blue)!!

Haha....pheeewww...afadhali umeliona kwa mtazamo huo....
mimi tayari nishaona kitanzi hapa...I hope nitamsoma tena kesho...
 
nyie mtaona matokeo najua mtanilaumu sana,na kuniona nimepotoka lakini ndo amani yangu ipo pale

Vipi kuhusu yale mamiongozo ya kuwa na lovelife bomba? Hayajawork?
 
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha

Hiyo njia nzuri sana.Yaani umehamua KUOA badala ya KUOLEWA..Safi sana maana kula roho inapenda.(Pia ndugu zetu wahindi ndo wanaoa badala yakuolewa.)
 
Ipi??? lesbian au ushoga??
 
Back
Top Bottom