Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wapo wavivu na wajinga wanaolalamika na kulaani kwanini Rais Donald Trump amesitisha misaada.
Kwa wanaojua utajiri uliokaliwa na Afrika, wanashangaa nani alituroga. Anachofanya Trump, kwa wenye akili na wabunifu, ni changamoto kuwa wahusika watumie akili na kuweza kutumia utajiri waliojaliwa na mwenyezi Mungu kujikomboa badala ya kuombaomba na kukopakopa na kuendekeza utegemezi visivyo vya lazima.
Pia soma: Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake
Anachofanya Trump ni sawa na mzazi anayemtimua mtoto nyumbani kwake ili akatafute kazi na chumba na kujifunza kujitegemea. Ni wangapi wamepitia hali hii na wakafanikiwa na kuwashukuru walioiwatimua au kuwanyima misaada isiyo na ulazima.
Kimsingi, Trump hataki kuwapa watu samaki bali kuwapa ndoana. Ni waisrael tu anaotaka waendelee kubebwa mgongoni ili waisadie Marekani kuwashughulikia waarabu.