Maamuzi ya Trump yamelenga kuwasaidia Viongozi wa Serikali za Afrika kuwa Wabunifu na kutumia akili

Selfishness ndio Jinamizi letu Waafrika kila mtu mahali pake na kwa nafasi yake anafikiria zaidi kujinufaisha yeye na jamaa zake tu !

Naamini ni wachache kama wapo wanaozifikiria zaidi Nchi zao na watu wao katika kupata maendeleo !

Sisi Asili zetu ni za kupenda kuwatambia wenzetu kuanzia vijijini mpaka mijini !
That means kila mtu akishapata yeye anaona ameshamaliza kazi wengine potelea mbali watajijua wenyewe !

Hapo wenye kuwepo kwenye position nzuri inakuwa ni mwendo wa kupiga pesa na kula Bata kwa sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…