jacob kipesha
New Member
- Jul 21, 2021
- 4
- 4
Leo naegemea katika vipengele vya kushusha kodi katika vileo na kupandisha bei katika mafuta na kuongeza makatato katika miamala ya fedha inayofanyika kwa simu.
Jambo hili nimekua nikilitafakari sana hata sija waelewa viongozi wa taifa hili kwanini wanalinakabidhi taifa letu kwa ibilisi wazi wazi namna hii?. haija niingia akilini mwangu hata kidogo na bado natafakari niwapi hawa wapanga bajeti wanalipeleka taifa letu waziri wa fedha na mipango kakosa hekima na ujuzi kweli wa kuangalia niwapi akakusanye mapato ya nchi hii mpaka akawabane masikini kweli?.
Leo hii kileo kinapewa nafasi kuliko mafuta na miamala ya simu, yaani wapanga bajeti wameona vileo vitawarahisishia wananchi maisha kuliko mafuta na miamala ya simu. Hii inaonesha ni namna gani wapanga bajeti wanawachukulia je Watanzania. Inamaana wameona nchi hii ina walevi wengi na wakipato kikubwa sana hata wawalazimishe kuchangia fedha bila hiari yao. Mimi nasema kwa hili wametutukana sana wananchi.
Maamuzi ya viongozi wetu kama haya yanatokana na sisi wananchi kuwachagua viongozi walevi nakuwafanya wawe waamuzi wetu. Mlevi anapenda kujirahisishia maisha kwa kuwaumiza wengine. kileo chochote kinayo kazi ya kupunguza kati ya mambo yafuatayo kwa mwanadamu,….
1. ufanisi wa akili
2. ufanisi wa utu
3. ufanisi wa uelewa
4.ufanisi wa maamuzi
Je tunaenda kujenga taifa la namna gani hapo baadae?......... acha ni yafafanue haya mambo manne kwanza.
1. Ufanisi wa akili:
Pombe siku zote inashusha uwezo wa akili kufanya kazi katika mambo yote, pombe huleta kuto chukulia jambo kwa uzito na kufikiri vitu virahisi rahisi tu. yaani kama ni kiongozi mlevi atataka kupata kipato kwa njia za panya na haoni madhara yanayo weza kumpata hapo baadae, wengi wa viongozi hawa wameishia kusitishiwa vibarua vyao (kutumbuliwa). Walevi wote hata familia zao hawazitunzi ipasavyo tunazo familia nyingi mtaani mwetu za watu walevi na tunaona maisha wanayo ishi na familia zao. Ufanisi wa akili kupungua ni kuelekea ukichaa hivyo tunapata miongozo ya ukichaa kutoka kwa kiongozi mlevi.
2. Ufanisi wa utu:
Mlevi kiongozi haoni uchungu na mwanadamu mwenzie isipo kua mlevi mwenzie tu, kiongozi mlevi huzurumu wananchi wake haki yao na kuitumia kwa anasa hiyo haki ya wananchi wake.kiongozi mlevi hana huruma na mtoto wa jirani wala hata wa nyumbani mwake pia. mtu huyu amesha athirika ubongo wake kwa kileo.
Ndio maana utawaona wananchi wakienda kuomba msaada kwa watu wanamna hii, utaona wakizungushwa zungushwa tu au hata kuambiwa sina chakuwasaidia, baadae utamkuta baa amehonga walevi wenzake na makahaba pombe za kuanzia laki moja na kwendelea. Hapo ndipo tunaona huyu mtu hana utu yaani ufanisi wa utu umeshuka hayupo kuwatumikia wananchi bali kujitumikia mwenyewe. Kiongozi mlevi ni mwenye hasira na yupo tayari hata kuua ili asigundulike uovu wake. Utu wake umepotezwa na mvinyo.
3. Ufanisi wa uelewa
Mtu mlevi ni mzito sana kuelewa ndio maana walevi wengi huwa hawakubali kupokea maamuzi mapya katika akili zao. siku zote huona kanakwamba wana onewa yanapo tokea mabadiliko yoyote hasa ya kiutawala. wao huendelea kuwa kama walivyo zowea na hii huwaletea matatizo sana katika utumishi wao. kiongozi wao anapo leta mabadiliko fulani hasa ya kiutawala wao huendelea na mazowea yao.
Mwisho wake huondolewa katika nyazifa zao kwa aibu. Lakini tambua kwamba mlevi hata apate aibu gani yeye huona ni kawaida tu maana haelewi kama hiyo ni aibu pia, wapo viongozi fulani waliondolewa madarakani kwa aibu na kesho yake wakasikika wanatamba maeneo fulani eti wakijitetea kwamba wameonewa na wakitaka wananchi wawaunge mkono. Wengine ambao ni viongozi wa kisiasa huamua kuhama hata vyama vyao ili kwenda kuufunika uelewa wao kwenye vyama vingine.
4. Ufanisi wa maamuzi
Hakuna mlevi yeyote anaye weza kutoa maamuzi yaliyo sahihi. ndio maana hata sheria nyingi humchunguza mtu anapofanya tukio fulani la ajabu kama alikua amelewa au alikua mzima au nikichaa au sio kichaa. walevi siku zote huwa hawaleti mtazamo mzuri kwa jamii. walevi wana maamuzi ya kishetani. ukiongozwa na kiongozi mlevi mara zote ataleta maamuzi yasio na mtazamo wa mbele. marazote mlevi huona kilichopo hapa na si kijacho. mtazamo huu wa mlevi ni mtazamo wa ibilisi.
Ibilisi huona ya leo tu na kuyashughulikia leoleo, lakini madhara yake huja mbeleni. Ndio maana leo hii tunaona madhara ya kuwa na viongozi walevi. Hapo awali viongozi walevi wasio mcha Mungu walilikabidhi taifa hili katika mikono ya ibilisi. hata leo watumishi wa Mungu wengi wanahangaika kulinasua taifa hili mikononi mwa ibilisi. je kwa maamuzi haya katika bajeti hii nikipi kinaenda kutokea katika jamii?
Mimi binafsi naiona Tanzania ya walevi ikija kwa kasi. siku zote walevi huwatetea walevi wenzao naiona bei ya vileo ikipungua na kuongeza idadi ya walevi na pia ongezeko la wagonjwa wa magonjwa yatokanayo na vileo vikali, kama magonjwa ya moyo, saratani, magonjwa ya figo, kisukari n.k
Binafsi naona walevi wakilala mitaroni na wabakaji wakiongezeka. pia naona kiwango cha mambukizi ya ukimwi yakiongezeka kwa kasi sana, lakini hapa sishangai siku zote mlevi hana huruma, yupo tayari kumuuza mwanadamu mwenzake ili apate cha kununulia mvinyo. hapa kuna biashara ya vidonge vya ARV. Inawezekana kuna mlevi mmoja anapata asilimia fulani kwa watengeneza ARV kama ilivyo kwa chanjo za covid 19. Lakini huko sitaki kuingia sana.
Katika tawala zilizo pita tuliona kuweka tumaini kwa Mungu kwa kila jambo na iliwasaidia Watanzania kuepukana na mapigo mengi ya ibilisi. mfano ajali zilipungua lakini sasa zinaongezeka tena za ajabu sana kwakua kuruhusu pombe ishuke bei ni kumfanya shetani apatikane kirahisi, hivyo tutashuhudia uovu wa ajabu sana, maana nikama tunaishi na shetani majumbani mwetu. tunashuhudia sasa watu wanabaka watoto wao wa kuwazaa wengine wanaua wake, watoto na hata wazazi wao.
Ukifuatilia unakuta mtekelezaji wa jambo hilo baya alikua amelewa. matukio kama haya yalikua ni adimu sana kutukia hapa TZ katika baadhi ya tawala hasa zilizo mtanguliza MUNGU na kumhubiri bila uwoga. HAKUNA tatizo linalo weza kutatuliwa kibinadamu isipokua MUNGU ameruhusu. wakati wa tawala iliyo pita Mungu alionekana kipekee hadi ulimwengu mzima ukatushangaa. nakumbuka ilitolewa ramani mpya ya dunia na tasisi moja marekani ikionesha duia nzima imechafuliwa na ibilisi isipokua Tanzania, sehemu yote ya ramani ilionekana nyekundu ila TZ ilionekana nyeupe.
Wakati wengine wanahangaika kutatua kibinadamu sisi tuli hangaika kumkabidhi Mungu ashugurike na tukawa salama. Akili ya mlevi siku zote haimkubali MUNGU bali inajikubali yenyewe. Ukifuata akili ya mlevi itakuongoza katika uharibifu.
Bei ya mafuta kupanda na kuongeza gharama za miamala katika simu, ni kuwakandamiza watanzania wote, wenye maisha ya chini na maisha ya juu. Lakini katika hili wanao athirka zaidi ni wale wenye maisha ya chini, yaani walio na kipato kidogo. vijiji vingi vya tanzania japo kuna umeme kwa sasa lakini bado wanatumia sana mafuta ya taa ili kupata nishati ya mwanga na kupikia, ndio maana biashara ya majiko ya mafuta ya taa ipo sokoni hata sasa na hata mimi na tumia. kuongezeka kwa nauri kwa baadhi ya miji ndani na nje ya miji kunawaumiza wale wa kipato kidogo sana, nimeona kwa sasa kunaongezeko la watembea kwa miguu barabarani wakienda kwenye shuguri zao.
Hii inamaana bajeti zao za kupanda daradara na bajaji au bodaboda zina wagomea. Nimeona pia inawalazimu hawa wakipato kidogo wapunguze hata mizunguko kwa siku wakihofia kutumia pesa nyingi katika usafiri. jambo hili limekuwa likipunguza kasi ya mzunguko wa pesa mtaani, kuongeza bei ya mafuta ni kumlimiti mwanachi shughuli zake. hii husababisha uchumi kukua taratibu au hata kuanza kushuka. haya ni maamuzi ya walevi, wanaagalia leo tu kesho hawaioni. faida ya leo hasara ya kesho hawaioni, wana tetea ulevi wana ongeza makato katika simu ambazo tayari zimeshalipiwa kodi, yaani unakatwa kodi nabado unachangia kwa nguvu, picha ninayo iona hapa nikama nchi imeanza kuongozwa kama kamati za harusi….
Madhara ya kuongeza miamala tutaanza kuona yafuatayo
- Ongezeko la watu kutembea na feha taslimu mifukoni. Ikiwa hivyo basi kutakua na ongezeko la vibaka na majambazi.
- Utekaji wa mabasi utarudi kwa kasi. watu wengi watakua wanatembea na pesa taslimu kwenda kufunga mizigo ya biasha na watakua wanaporwa fedha zao na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Mauaji ya kiholela kutokana na watu kupigwa ili wanyanganye fedha.
Wangeongeza kodi katika vileo ili wanywaji na wavutaji wapungue hii ingeondoa na kupunguza vilaza wengi katika jamii yetu. vichaa wanaongezeka kwa sababu ya ulevi. Matendo ya ufedhuli yana kithiri kwasababu ya vileo. unapokunywa pombe nisawa na kunywa roho ya uovu. ndani ya pombe kumejaa kila aina ya uchafu.
Nakusihi Mtanzania mwenzangu tunapo chagua viongozi tuangalie sana sifa ya kiongozi huyo kama je ni mlevi?. Tusi wachague kwa maneno yao mazuri bali kwa matendo yao mazuri. Kama mgombea yeyote anawahonga watu vileo basi huyo anawatukana kwa kuuthaminisha utu wenu na kileo. Utu wa mtu huwezi uthaminisha kwa kileo bali kwa kumtendea matendo yenye staha.

Upvote
1