Maamuzi ya wajinga yanapotia watu hasara

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Kila ulifanyalo Jaribu kuwaza ni athari gani utaleta,ikiwa ni negative basi fikiria mara mbili.

1.Watu wamesafiri kutoka mbali kwaajili ya hii kitu.

2.watu wamekodi usafiri na nyumba za kulala wageni Kwa starehe ya saa moja na nusu.

3.Mtu kakopa pesa anunue kifurushi ili aoneshe mpira kwenye bandaumiza lake.

4.watu kuona wamedharauliwa,
Yaani mwanamke kakushika uboo hadi unasimama kisha anavaa na kukimbia pasipo kuto......

Haya ni baadhi tu ya yanayoumiza,ila huu ujinga ukiendelea athari zake ni hizi.

~Watu kususia hizi mechi na mashabiki kupungua viwanjani

~Mauzo ya jezi kushuka baada ya watu kuona huu ni ujinga kuendelea kushabikia upuuzi

~Baadhi ya wadhamini kujitoa ,kwani huwezi kuweka dhamana Kwa mtu kichaa

~Ligi kukosa mvuto na kutokana na ubabaishaji (uswahili)

Mimi ni shabiki wa Yanga Ila Kwa leo sizilaumu hizi timu zote bali ,ni TFF na genge lake la kihuni.

Yaani ni kama mwanamke Malaya anakula nauli halafu anachimba
 
Si wanajua watanzania wajinga,watu wamepikisha futari
 
Hili ligi linafaa lichezwe gizani huko na sio kuonyeshwa kwenye TV. TFF ni hovyo sana yaani hawawezi kusimamia haya matimu mawili makubwa jinga
 
TFF wamefanya jambo jema nimefrahia, wameweza kuusoma upepo, kama wangelazimisha mpira uchezwe alaf itokezee simba afungwe, athari ingekuwa kubwa kuliko hii ya kuahirishwa kwa mchezo, hayo ndio maridhiano ktk mpira hususan kwa vilab hivi viwili shindani. Kongole TFF, mpira uchezwe uwanjani pasiwe na visingizio ili mshindi ashinde na mshindwa ashindwe.
 
Mimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga ya Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
 
Honestly, walioharibu mechi ni hao wajinga waliowazuia Simba kufanya mazoezi kama kanuni inavyotaka.

Hizi timu zinaishi kivyake hasa Yanga, yaani imekuwa kawaida Kupitia milango isiyoruhusiwa kuingia uwanjani, kuleta vurugu za kupiga mashabiki wa Simba.
Hii inasabidhwa na wanasiasa kuingilia maamuzi ya mamlaka za mpira Tanzania na pia hao viongozi kuwa washabiki wa moja ya vilabu hivi.
Tukio la kuizuia klabu ya Simba kufanya mazoezi ya mwisho lingefanywa na vilabu vya chini ingetolewa adhabu Kali sana.
Ila kwa ni Yanga hutasikia lolote.
 
Utopolo mda wote ni kufata maelekezo ya mganga
IMG-20250308-WA0019.jpg
 
Kila ulifanyalo Jaribu kuwaza ni athari gani utaleta,ikiwa ni negative basi fikiria mara mbili.

1.Watu wamesafiri kutoka mbali kwaajili ya hii kitu.

2.watu wamekodi usafiri na nyumba za kulala wageni Kwa starehe ya saa moja na nusu.

3.Mtu kakopa pesa anunue kifurushi ili aoneshe mpira kwenye bandaumiza lake.

4.watu kuona wamedharauliwa,
Yaani mwanamke kakushika uboo hadi unasimama kisha anavaa na kukimbia pasipo kuto......

Haya ni baadhi tu ya yanayoumiza,ila huu ujinga ukiendelea athari zake ni hizi.

~Watu kususia hizi mechi na mashabiki kupungua viwanjani

~Mauzo ya jezi kushuka baada ya watu kuona huu ni ujinga kuendelea kushabikia upuuzi

~Baadhi ya wadhamini kujitoa ,kwani huwezi kuweka dhamana Kwa mtu kichaa

~Ligi kukosa mvuto na kutokana na ubabaishaji (uswahili)

Mimi ni shabiki wa Yanga Ila Kwa leo sizilaumu hizi timu zote bali ,ni TFF na genge lake la kihuni.

Yaani ni kama mwanamke Malaya anakula nauli halafu anachimba
Mimi huwa nashangaa kuona mtu mzima kabsa yanashupaza fuvu kwa mambo ya mpira na siasa za bongo. Ujinga mtupu. Hakuna watu serious huko rafiki zangu. Na leo hakika watu wamepata hasara na hutosikia mtu yeyote anafanya tathimini
 
Back
Top Bottom