Maamuzi ya wajinga yanapotia watu hasara

Mimi mtizamo wangu wa kilichojiri!
1. Simba hawakuwa na nia ya kucheza mechi hii kwa sababu zao iwe majeruhi au nyinginezo. Wakawa wanapanga plan..
2. Wakagundua udhaifu wa kanuni. Kuwa kanuni hii ilikuwa haifuatiliwi kwenye mechi za derby kwa sababu zao Simba na Yanga za kitamaduni..
3. Ndio maana Yanga hata haukuenda kwenye pitch feeling..
4. Yanga kama kawaida wakaweka komandoo kulinda uwanja kitamaduni!
5. Simba hapo uwanjani! Hakuna aliyetegemea sio walinzi, Yanga, TFF hata Bodi ya ligi! ( Hapa Simba wanastahili pongezi kwa ukachero)
6. Komandoo na waangalizi wa uwanja wakazuia Simba kuingia uwanjani!
7. Simba wanaondoka meno yote nje! Lao limetimia!
8. Kanuni imesimama, hakuna namna ni kula matapishi
9. Ahirishi mechi
 
#. 4 dah waheed.
 
Kwani hilo kosa TFF hawajaliandalia adhabu yake hadi simba ijichagulie kuamua kutocheza. Au kosa kama hilo adhabu yake ni kuhairisha mechi?
 
Ma watu lazima wajue poa kua Kuna natural catamites.
Tuache kua Simba wamegomea mechi vipi kama kungekua kumetokea tetemeko kubwa la ardhi ama mafuriko na uwanja ukabomoka mashabiki waliolioa Hela zao wangefanyaje?
Au timu moja ingepata ajali (Mungu aepushe lkn).
Kupelekea pambano kiahirishwa ingekuaje?
 
Pole sana ulikopa ukaangalie mpira wa magumashi watu wanapanga matokeo ligi mbovu hamia Epl uburudike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…