Maana halisi ya afande

Eenhee, nilikuwa nataka swali kama hili. Kwani nimefanyeje!
 
Kwanini unakurupuka?

Kwani si nimetumia neno kama yeye. Ametafuta kipengele kinachomridhisha na mimi nikatafuta cha kwangu. Yaani use = tumia. Nge = scorpion kama jina lako. Yaani ametumia ubongo wa nge!!!
 
Tuanze kufanya kama makanda wa peace keeping somalia, Congo na Sudan ndo itakua na maana sahihi.. Aaagrrrrhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…