Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mara mia umshauri atumie.Laki kama tano, kutengeneza banda la genge , alafu aweke mboga mboga za kila aina, mafuta, sukari, mchele/, unga wa ngano., viungo vya mboga, n.kNjoo nikuunge na Forever Living. Achana na fursa uchwara
Tupo pamoja mama la mama
Wewe njoo na laki tatu. Upate utajiri wa faster. Achana na hayo magengeMara mia umshauri atumie.Laki kama tano, kutengeneza banda la genge , alafu aweke mboga mboga za kila aina, mafuta, sukari, mchele/, unga wa ngano., viungo vya mboga, n.k
Kama yupo sehem iliochangamka...kwasiku atakua analala na faida ya elfu 20-30 , kwa mauzo ya elfu 50--80 kwa siku.
Try it...!!!
"What is yours will always be yours no matter what "
Hapo ukishanawa unaenda wapi?
Hapo ukishanawa unaenda wapi?