Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

Mafuta mafuta daah yamepiga pakubwa
 
Na hapo ni urusi anafanya operation Ukraine!

Upo umuhimu wa kuzalisha mafuta yetu wenyewe hususani mafuta ya mimea itajenga na afya zetu, pia kuhamasisha ukuzaji wa teknolojia ya umeme tupate na magari yanayotumia umeme itatusaidia sana!.. tunaishi tu hata dira sijui tunayo au hatuna!
Mkuu story ya magari ya umeme wewe isikie tu kwa jirani, maintenance zake si za kawaida. Mfano ikiharibika Betri yake, replacement yake ni sh. 20,000,000, utaweza kweli?
 
Back
Top Bottom