Maana halisi ya neno " zanzibar kumezwa"

Maana halisi ya neno " zanzibar kumezwa"

Kila yajapo mawazo ya Muungano wa serikali moja neno hilo huibuka kama kwamba ndio jibu sahihi na pekee linalozuia muungano wa serikali moja.

Najiuliza huko kumezwa kutakuwaje? Kwani kama ni sehemu inaitwa zanzibar si itaendelea kuitwa hivyo hivyo zanzibar na majengo yake na watu wake kuwa pale pale. ni nini hasa maana ya neno hili?

Zanzibar ina historia yake ni kweli lakini ziko sehemu nyingi zenye historia maalum ndani ya Tanzania na zimeendelea kubaki hivyo hivyo . sasa huku kumezwa maana yake nini? ukienda ujiji kigoma hata kesho utaona tu asili yake,ukienda tanga utaona asili yake ,ukienda maeneo ya tabora utaona.huku kumezwa mbona hakujaonekana labda kumezwa ni nini?mbona mbuga zote hazijapotea watu wa maeneo hayo ni wale wale.


Hili neno kumezwa maana yake ni nini?

Kweli Tanganyika kuna watu wana vichwa vya panzi

Elimu aliyotoa warioba jana sikutegemea tena kuwaona watu kama hawa wakijiokeza kwenye jukwaa hili na pengine popote kuizungumzia Zanzibar kiutumbo kama hivi

Kama Mh Warioba hajakutosha ninamsaidia

Kumezwa kwa zanzibar ni sababu ya Tanganyika kuvaa koti la Muungano wa zilizokua nchi mbili huru zilizokua na mamlaka kamili

Zilikua zinaitwa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar

Msemo mwengine ni "wajinga hawamalizi"
 
Sikutegemea badala ya warioba kutoa elimu mwanana kwa watanganyika jana leo anatokea -------- kuuliza ujinga kama huu

Kuna msemo unasema"wajinga hawamalizi"
 
tanganyika kwanza muungano baadae.kama wznz wana ubavu wajitoe ila hapa niserikali 3 siyo 2 wala 1 sina lengo tuvunje muungano la! ila wznz wabaguz na kaul za kuvunja muungano wao ndo waasisi. ili kila upande uridhike ni serk 3. nampenda maalim seif sana hana hata chembe ya unafiki anasema tuwe na muungano wa mkataba! bora huyu anasema wazi!
 
Back
Top Bottom