Maana Halisi Ya No Reform No Election,Watanzania Hatuielewi,Ndo Maana Wengi Tunaipinga

Maana Halisi Ya No Reform No Election,Watanzania Hatuielewi,Ndo Maana Wengi Tunaipinga

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu,

Nimefuatilia harakati za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,nimejiridhisha kuwa CHADEMA ina maono,dira na taswira nzuri juu ya Tanzania ya kesho.

Kauli mbiu yao ya no reform no election haina lengo la kuchochea,wala kuratibu uasi dhidi ya serikali bali inalenga kuweka mambo sawa ya kiutawala hasa kabla,wakati na baada ya uchaguzi,inalenga kuweka balance nzuri baina ya viongozi wao kwani hivi sasa kuna ombe kubwa baina ya wananchi na viongozi wakuu wa nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wa NEC anateuliwa na rais,ambaye rais huyohuyo ni mwenyekiti wa chama tawala,kumbe huyo mwenyekiti anafanya kazi chini ya kivuli cha chama tawala
uchaguzi huru na wa haki,chadema wanataka reforms ili kuwepo na >uchaguzi huru na wa haki,sasa hivi kiongozi wa upinzani akionekana ana nguvu ya ushawishi basi anakamatwa
katiba mpya,katiba mpya italeta usawa kwa wananchi wote,watakuwa na haki ya kuwahoji viongozi wao tofauti na sasa kiongozi ni mungu mtu tanzania.

Kwa kauli moja TWENDENI NA NO REFORM NO ELECTION.
 
Back
Top Bottom