Wanaishi kwa taabu ili wamjue mungu wao ipasavyo
Kabla sijajibu, naomba nikuulize, je kwanini Mungu alimtuma mwanae Yesu aje asulubiwe na Wayahudi na warumi?Kwa hiyo MUNGU wao aliwaumba ili wapate tabu hatimaye wamjue ipasavyo?
Ndio mkuumkuu Yeriko kumbe na wew ni Ras kama mimi
Wale sio marastafari" bali ni watu waliofuga dreidi tu,Kuna wana wanajifanya marastafari pale posta brand house ili waopoe watoto wa kizungu!!!!kibongobongo wengi wanajifanya marastafarian wanakuwaga sio mahandsome
Huwa napitia pitia mazungumzo na discussions humu JF just to weigh the seriousness and apparent level of intellect of the contibutors!
Kutumia lugha yenu.... Sijawahi kusoma mtu kilaza kama huyu anayejiita Yericko Nyerere.
It's an insult to the intellectual legacy of the REAL Nyerere of whom you Yericko has assumed his name.
Why do you like to write so much rubbish about things you hardly know about? Obviously your academic and intellectual abilities come into question whenever I read most of the rubbish you write.
Or am I missing the gameplan here?
Nilikuwa namfuatilia huyu bwana yericko kwenye post moja inazungumzia "uchochezi wa mohamed said" (kama sijakosea) nikaona anajitahidi kuandika na kuwa na data fulani so detailed ila nikija kuangalia post kama hii namuona hajajipanga kabisa.
I dont get it either.
Huenda logical ya 'imani' huijui mkuu,
Imani haina ujengaji wa hoja zaidi ya kunukuu maandiko tu,
Yeye yule alitembea na kuishi katika misingi mikuu ya imani kamili ya rastafari
Pia kuzaliwa kwake kulitabiriwa na ndio maana alivyozaliwa tu watu wakarudi kwenye maandiko huku wakikumbuka nasaha alizoacha muasisi wa BACK MOVEMENT TO AFRICA
Soma kebra za rastafariNaomba reference ya kitabu na maandiko yanayoonesha kutabiriwa kwake ili na mimi nijiongezee elimu.
Karibu mkuu.
Naomba tuelezee kifo cha Jah haile selasie.
Na je ni kweli ktk utawala wake aliwahi kutesa watu wake na hata: wengine kufa kwa njaa
Soma kebra za rastafari
Wewe sio wakuonyeshwa kifungu, bali anza mwanzo kabisa kwanza uitambue Kebra nini kisha Songa mbeleThat's too general, could please narrow it down.