Maana halisi ya Rastafari

Maana halisi ya Rastafari

kufanya kazi kwa mikono badala ya mashine huoni kwamba kimaendeleo mtakua nyuma na mwisho mtakua maskini sana ktk jamii ya sasa ya sayansi na teknolojia!!! au hukubali kua miongozo ya maisha ya miaka ya kale haiwezi kuhimili mikiki ya maisha ya sasa kama uislam na ukristo unavyoshindwa mikiki ya maisha ya sasa!!!
 
NA SAKRAMENT HAILIWI OVYO2 , SO KUVUTA BANGI OVYO2 NI KINYUME NA IMANI YA MARASTAFAR KULINGANA NA KANUNI 1 HAPO JUU(Kaya ni "sakramenti" kwa maana ya kwamba inatumiwa wakati wa worshipping kwa dhumuni la ku "calm yourself" )
SO WAVUTA BANGI BILA YA MPANGILIO SI MARASTAFARI ILA NI WALEVI TUU
 
Exactly!

Jah bless you man!
 
kufanya kazi kwa mikono badala ya mashine huoni kwamba kimaendeleo mtakua nyuma na mwisho mtakua maskini sana ktk jamii ya sasa ya sayansi na teknolojia!!! au hukubali kua miongozo ya maisha ya miaka ya kale haiwezi kuhimili mikiki ya maisha ya sasa kama uislam na ukristo unavyoshindwa mikiki ya maisha ya sasa!!!

Kazi nyingi asili yake ya ufanyaji ni mikono,

Mageuzi ya teknolojia ni lazima yaendane na ukuaji wa mwanadamu kifikra,

Niangalie mimi, sina rasta, sivuti bangi lakini naishi maisha matakatifu ya kirastafari
 
Mara nyingi tunaambiwa mojawapo ya sifa za Kiongozi bora ni matendo yake, je unafikiri si sahihi kujadili utawala wake aliokuwa anausimamia ?
 
Mara nyingi tunaambiwa mojawapo ya sifa za Kiongozi bora ni matendo yake, je unafikiri si sahihi kujadili utawala wake aliokuwa anausimamia ?
Mimi nitakuambia kuwa alifanya vuzuri na alifanya yaliyondani ya uwezo wake
 
Usichane na usizioshe zitasokota tu!si hiwa unawaona vichaa?
 
Usichane na usizioshe zitasokota tu!si hiwa unawaona vichaa?[/

Huo si ushauri kama hujui si unyamaze tu kuliko kupanua mdomo.
 
Kuna wana wanajifanya marastafari pale posta brand house ili waopoe watoto wa kizungu!!!!kibongobongo wengi wanajifanya marastafarian wanakuwaga sio mahandsome
halafu wanakuwaga wachafu balaa. sijui kwanini.
 
Marlon Asher anasema

"Tru jah jah bless i with nuff a
good vibes man
and true mi a di artist with di
ganja inna di land
make doctors get nuff medication
and so dem coulda give it to
dem sick patients
make get chemists get nuff
medication
and so dem coulda brew new medication
make singers get some
inspiration
and so dem coulda spread jah
message pon di land... Me a
chant"

wa gwan rasta!i keep listening to this tune every now and then....my phone sd card is full of reggae mp3.check out contagious riddim mix...massive tings.
 
Asante mkuu kwa kuwaelezea,na mimi napata uhuru wa kufunguka iman yangu siku moja. Am a five percenter from NGE.
The root of HIPHOP ,Mecca,medina,D mecca & D medina.
 
Nadhani mtoa mada hajaelezea sana chimbuko na asili ya hiyo imani ya Rastafari ndiyo maana ameacha maswali mengi kuhusu Bangi, kutokula nyama, maana ya neno Rastafari, uhusuano katik ya Rastafarian na Queen of Sheba, Bob Marley na Rastafarian, nini maana ya Haile Selassie, kwani Jamaica inatajwa sana na Rastafarian, uhusiano kati ya Marcus Garvey na Rastafarian, kwanini Muislam hawezi kuwa Rastafarian nk. Kwa ujumla ni habri ndefu na interesting.
 
Jamani nilikuwa nasikiliza BBC Kiswahili Dira ya Dunia moja kati ya habari zilizotangazwa ni kuhusu imani ya kirastafare ambapo neno ''ras'' maana yake ni cheo na ''tafare'' ni sehemu ya jina la Emparor ambaye ndiye wanayemchukulia kama ''muumba'' wao
Haille Sellasie
th

na katika ibada zao ni lazima kupata ''sakrament'' aina ya bange kwaajili ya kuamsha roho na ni mmea mtakatifu.
Moja kati ya ibada zao hufanyika katika kapori fulani chini ya daraja hapo ubungo huanza kwanza kwa kuamsha roho zao.

Jamani hii imekaaje wadau.
 
Back
Top Bottom