bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
kufanya kazi kwa mikono badala ya mashine huoni kwamba kimaendeleo mtakua nyuma na mwisho mtakua maskini sana ktk jamii ya sasa ya sayansi na teknolojia!!! au hukubali kua miongozo ya maisha ya miaka ya kale haiwezi kuhimili mikiki ya maisha ya sasa kama uislam na ukristo unavyoshindwa mikiki ya maisha ya sasa!!!