Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Jibu ni hapana si wote wanatumia japo kisheria wanaruhusiwa..Nisawa na sakramenti kwa wakristu, je wakristu wote hutumia sakramenti kwa ibada zao?
Vipi ganja(bangi) kwao nasikia ni mmea mtakatifu??
Safi sana mkuu, jibu limetulia hili,japo kuna imani potifu sana katika jamii kuhusu huu mmea...................., ni tiba ya magonjwa mengi. ni mmea makini, jaribu kutumia jani siku moja:A S 41:
Who is selasie to them?
irie massiv,israel vib ktk album ya staminaSikia maneno ya Marlon Asher
"Tru jah jah bless i with nuff a good vibes man
and true mi a di artist with di ganja inna di land
make doctors get nuff medication
and so dem coulda give it to
dem sick patients
make get chemists get nuff
medication
and so dem coulda brew new medication
make singers get some inspiration and so dem coulda spread jah message pon di land... "
Sio wote wanaotumia mfano Dube,Senzo walikuwa hawatumii wala kilevi hawatumi na alielezea fresh wakati anatengeneza album ya Respect kabla mauti hayajamkuta..Jibu ni hapana si wote wanatumia japo kisheria wanaruhusiwa..
Nilichotaka kujua ni uhalali wake kidini , je ni ruksa kwa sheria ya kiimani au ni masuala binafsi ya waumini tu japo hayaruhusiwi??
Dr slaa,
Inawezekana chamsingi ihimize Upendo,umoja na Amani ukiwa pamoja nakuviishi,ukiangalia asili ya reggae ni jamaica ila chimbuko la imani ni Ethopia na ukichunguza zaidi utaona Ethopia na Israel zinarelate kutokana na matukio yaliyotekea kipindi cha mfalme Sueleman..haile selaise ni kiongozi mkuu wa imani yenu, (i.e rastafari ni imani kamili) hapohapo umesema rastafari haimzuii mtu kua muumin wa iman nyengine, sasa je yawezekana kua na iman 2 kwa wakati mmoja
Kabla sijakujibu embu ukipata nafsi msikilize Alpha Blond-God is one,Jesus..Nami suala langu lipo hapo hapo mkuu Iman mbili zawezekanaje ktk moyo mmoja? Naomba ufafanuzi tafadhal
Na Bobumale je?
Kabla sijakujibu embu ukipata nafsi msikilize Alpha Blond-God is one,Jesus..
Luck Dube-Shembe is the way,Jah live...
Rastafari anaamini katika Umoja,amani na Upendo mpaka hapo tosha kuwa rastafari..
Pili style ya maisha pia ina-determine wewe ni rastafari(sio kuvuta bangi)
Ikiwa tunaamini katika Mungu mmoja mwenye majina tofauti wote ni wamoja basi Tupendane,tuwe Wamoja na Aman itawale maisha yetu
Cool Mon...Maneno ya hekima na mazito sana!
Amani na upendo kwako mkuu
Mbona umetaja wa upande mmoja tu umewasahau Nicholas na Matola otherwise give thanks and praise to the most high Jahcc The Big Show, Boko Haram, Ritz, na wengine wote wadharauo imani za watu wengine
Haile selassie was a devote christian and a leader of ethiopia tawaedo Orthodox church. .n alivyoenda jamaica he said to his archbishop abune yesehaq " go to jamaica, ths people dnt understand our culture" he said ths after being praised n being called God. . .that mean he denied he is not God. .then why should rasta pray to him?
Mbona umetaja wa upande mmoja tu umewasahau Nicholas na Matola otherwise give thanks and praise to the most high Jah
Alipingwa/anapingwa Yesu itakuwaje asipingwe Haile? Anapingwa/anapingwa Mtume Mohamed itakuwaje asipingwe Haile?