ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Ow yuh duh doing mon...Wagwan....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ow yuh duh doing mon...Wagwan....
Kaya ni "sakramenti" kwa maana ya kwamba inatumiwa wakati wa worshipping kwa dhumuni la ku "calm yourself" na kutafuta oneness na muumba "Jah"
Kuna makala mbalimbali zilishawahi tolewa na bwana mmoja anaitwa Munga Tehenan kwa sasa ni marehemu,zilihusu utambuzi,binadamu anaejitambua anaeishi katika misingi ya asili(The law of Nature) hawezi ogopa kifo,binadamu kwa asili anahofu na hofu hii ndio inayomsahisha anapokosea..
Imani ndio kitu kinachowasumbua wanadamu walio wengi.
Na wakati mwingine kinawapotezea muda mwingi sana,
pengine hii inatokana na hofu na woga wa kifo.
Kuna makala mbalimbali zilishawahi tolewa na bwana mmoja anaitwa Munga Tehenan kwa sasa ni marehemu,zilihusu utambuzi,binadamu anaejitambua anaeishi katika misingi ya asili(The law of Nature) hawezi ogopa kifo,binadamu kwa asili anahofu na hofu hii ndio inayomsahisha anapokosea..
Kuna makala mbalimbali zilishawahi tolewa na bwana mmoja anaitwa Munga Tehenan kwa sasa ni marehemu,zilihusu utambuzi,binadamu anaejitambua anaeishi katika misingi ya asili(The law of Nature) hawezi ogopa kifo,binadamu kwa asili anahofu na hofu hii ndio inayomsahisha anapokosea..
Mkuu kama umesoma bandiko lote kwa utulivu utaelewa kuwa Haile Selassie alichaguliwa na waamini wa Raistafari kuwa kiongozi wetu, hilo halina maana kuwa yeye ndie muanzilisha, Urasta ulikuwepo tangu Karne ya kwanza ukiwa chini ya binadamu mweusi Nimrodi mmoja ya uzao wa Nuhu,
Katika makala za Munga ilikuwa kuelimisha watu kujitambua,uwezo ambao binadamu anao katika maisha yake bila kujua,katika makala hizi alionyesha binadamu ni kiumbe pekee mwenye akili na utashi lakini ni kiumbe pekee anaeishi katika viwango vya chini vya utambuzi,binadam ni zaidi ya mwili na katika hili anauwezo wa kutaka vitu/kitu ambacho mwili hauwezi kukitenda,hapa unapata tofauti kati ya mwili na roho,udhaifu unaopatikana katika mwili ndio unaotengeneza IMANI.Nimejaribu kutafuta makala zake nyingi zipo katika vitabu vyake ila nimepata moja embu jaribu kuipitia katika utulivu na upana wa fikra......Mkuu NattyDread! Kwa hivyo hizo makala zake zilipingana au zilisisitiza umuhimu kuwa na imani ili pawepo na hofu ili tujisahihishe au niaje hasa? fafanua kidogo au ikiwezekana tupia japo makala hizo tupate elimu japo kidogo.

Unaijua lakini vizuri historia ya Nimrod, haswa imani yake?
Unaijua lakini vizuri historia ya Nimrod, haswa imani yake?
]Ninaifahamu vema kabisa mkuu,[/COLOR]
Kuanzia uzao wake hadi utawala wake na imla ya ujenzi wa babeli
Hebu tuwekeeni hapa japo kidogo kwa faida ya wanajukwaa mkkuu
Rastafarian asili yake ni Tafari-Ras!
kulikoni kuupotosha ukweli au kupost usilolijua ni bora kukaa kimya!
Kwanza ili tumfahamu vema Nimrodi nivema tukaanza kurejea nyuma kwanza kuyajua haya,
Wazungu 90% ni Majini:
Kwakutumia historia ya binadamu kibiblia, ukichambua kila uzao na sambuli zake unaweza kubainisha wazi hilo nilisemalo, japo laweza kuwa zito kwa wengine.
Kwa wale muaminio biblia mnaweza kukubaliana na mimi kuwa sababu kuu ya Mungu kuiangamiza dunia enzi za Nuhu, ni kutokana na wanadamu kumuasi mungu, maasi yalikuwa yakufuru hasa yakihusisha mwingiliano wa majini na binadamu, wanyama na binadamu nk na baada ya angamizo hilo, manusura walikuwa ni Nuhu, wanawe, mke wake, na kila kiume kibaya na chema aliviokoa mke na mme. Mwanzo 7:1-11
Hapa tunaona kuwa na majini yaliokolewa na Nuhu, Sasa tukirejea katika masimulizi yetu tunaona sasa baada ya Nuhu kuokolewa na safina, wanae watatu wakiume ambao tayari walikuwa wameoa (enzi za gharika) mmoja wao Yafethi alikuwa kaoa jini, wakati wawili Shemu na Hamu wao biblia inasema walioa mahali ambapo si chukizo mbele za Mungu. Mwanzo 10:1-7
Uzao wa wana wa Nuhu ndio unatupatia ukweli wa nikisemacho, kwanza tunaona kuwa wana wa Yafethi alieoa jini ni, Gomeri (Ujerumani), Magogu (Cambridge UK ), Madai (Hispania), Yavana (Italia), Tubali au Yunani (Ugiriki), Mesheki (Lebano) na Tirasi (Ufaransa), Mpaka hapotumeona uzao wenye ushirika na majini wa Yafethi
Sasa tuangalie uzao Hamu unaotajwa kuwa Mungu aliupenda na kuupa baraka tele, uzao huo ni Kushi (Ethiopia), Misri (Misri), Kanaani (Israel) na Putu (Libya)
Mwanzo 10:21-23 Tunasoma yakuwa wana wa Shemu ambe ni sehemu ya kipenzi cha Mungu, ni Elamu (Saudi Arabia), Ashuru (Syria), Arfaksadi (Kuweit), Ludi (Jordan), na Aramu (Qatar)
Mpaka hapo tumepata mwangaza kuwa uzao wa Yafethi wenye tokezo la majini/uovu ndio uzao wa mataifa karibu yote ya Ulaya. nauzao wa Hamu na Shamu ndio uzao uliopewa neema na muumba hii ni kwamujibu wa maandiko ya kiroho.
Kwamaandiko hayo tunaamini kabisa kuwa Mashariki ya kati, na Afrika ndio maeneo muhimu ambayo mungu aliwabarikia watu wake.
Hata ukitumia Kuruani takatifu hayo yote yanabainisha wazi kabisa.
Kwamsaada zaidi rejea Mwanzo 4:16-24, Ufunuo 16:13-15, Ufunuo 20:7-8, Ezekieli 27:12-14, Ezekiel 38:1-9
Kwakupanua wigo wa mjadala nje ya biblia hasa wale wenzangu waaminio Freemasonry ijapokuwa watetezi wake hupinga kuwa si ushetani/ujini, watambue kuwa uzao wa asili wa freemasonry ni Magogu (Cambridge UK) japo katika historia inasema ni Scotland UK
Haya ndugu zangu nawakaribisha katika tafakuri njema
ahahahahahahhaaaaaaaaaaaa_nakumbuka thread yako moja ilibeba ujumbe huu wa majini kuwa wazungu,...with thanks mkuu
Hehee ndio tunaamini kupitia maandiko hayohayo
Yeah_maandiko hayo hayo waliyotuletea wenyewe na kutukaririsha with porojo nyingi_ambayo wametuachia sisi na wao kuendelea na dini mpya in the name DEMOKRASIA....sisi huku tukiuana bila kujua chochote mkuu.
Kusoma huwezi hata picha huoni?
Hapo chini kwenye picha yako wameandika UNGA watajwa. Sasa inahusika nin hapa?