Maana halisi ya Rastafari

This was more of a black conciousness search move more than anything.

Kama wazungu wana Yesu wao mwenyr blue eyes na blonde hair na sisi tuwe na mungu wetu mweusi.

Kweli kabisa mkuu.
Mbaya zaidi wengi wanahubiri kujitambua lakini vitu vingi wanavyoamini viko hewani vinaelea.
Eti wanasubiri kurudi nyumbani Afrika kutoka uhamishoni, mpaka leo wanaamini watarudi sayuni(Ethiopia).
 
Jah fire will come down to perish babylons and leave Rastaman as a true ruler of zion!!

Angalia mwingine huyu.
Anahubiri amani na upendo huku anaita moto wa jah uje kuchoma wengine.
kwani I & I ni kwa weusi tu?
 
Umejaribu kueleza kwa kiasi ila kuna mengine unatakiwa ujifunze zaidi Tunatambua uwepo wa Kristo (Messiah) kama alivyotabiriwa katika kitabu cha Nabii Isaya na tunafuata mafundisho yake ila sisi hatumsubirii arudi mara ya pili kwa sababu Alisharudi kama Ras Taffar Mackmanon- Emperor Haile Selassie The lion of Juda.
 
Rastafari use the terms "Jah " or
sometimes " Jah Jah " as a term for
God and/or Haile Selassie I , who is
also known by the Amharic title
Janhoy (literally "Your Majesty").

Nimeichukua wikipedia hiyo.
Sasa niambieni uungu huu ni upi?
Ndiye yule mungu tunayemsoma kwenye bible au huyu ni mwingine?
 
In
the King James Version of the Bible it
is transliterated as " JAH " (capitalised)
in only one instance: " Sing unto God,
sing praises to his name: extol him
that rideth upon the heavens by his
name JAH, and rejoice before him".
(Psalm 68:4 )

Nyingine hiyo.
Haya ma-rastafari niambieni, Jah huyu ndiye yule yule Haile Selassie au wako wengi?
 

Iko hivi.
Hallelu YAH, Hallelu JAH, Asifiwe MUNGU, BWANA Asifiwe, Praise THE LORD .

YAHWE, JAH , JAH, MUNGU, BWANA MUNGU, THE LORD, THE ALMIGHTY GOD, MWENYEZI MUNGU. Ndiyo huyo huyo ni tofauti ya Lugha na mahali tu.
 
Mfano mdogo ni Mungu na Yesu, na Mtume Mohamed na Mungu,

Huwezi kwenda kwa Mungu bila kupita kwa watu hao,

Ndivyo ilivyo kwetu, Tumemchagua Haile awe kiongozi wetu atuongoze kwenda kwa Jah
 

Nyama ina ubaya gani kwa Rastafari?
 

Kwanini Haile Selassie I anaitwa jah?
 
Mfano mdogo ni Mungu na Yesu, na Mtume Mohamed na Mungu,

Huwezi kwenda kwa Mungu bila kupita kwa watu hao,

Ndivyo ilivyo kwetu, Tumemchagua Haile awe kiongozi wetu atuongoze kwenda kwa Jah


Kwahiyo Haile Selassie I siyo Jah?
Hebu kanusha na hii:

Rastafari use the terms "Jah " or
sometimes " Jah Jah " as a term for
God and/or Haile Selassie I.
 
Sijui kwa nini baada ya kusoma hii thread wimbo wa 'WE AND DEM wa Bobuu ukanijia........but who is Nyabinghi.....? jump jump jump Nyabinghi........
 
Kwahiyo Haile Selassie I siyo Jah?
Hebu kanusha na hii:

Rastafari use the terms "Jah " or
sometimes " Jah Jah " as a term for
God and/or Haile Selassie I.
Mkuu mbona swali lako limejibiwa vema katika uzi huu pale juu tu?

Hebu tulia soma vema utaona kuwa,
GABRIEL HAILE SELASIE I aliyekuwa kiongozi wa nchi ya Ethiopia ni moja kati ya watu waliochangia kukuza imani ya Rasta ulimwenguni na ndipo jumuiya ya Rastafariani ilipoamua kumteua kuwa kiongozi wa Rastafarian ulimwenguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…