MAANA NA JINSI YA KUMTATHIMINI MCHUMBA /MPENZI

WOLF SEPTICEMIA

Senior Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
168
Reaction score
102
Habari zenu wakuu !
nimeamua kuandika huu uzi kwa sababu nami ni muhanga katika suala hili ila nimekaa chini na kuamua kuandika ili niwasaidie vijana wenzangu juu ya suala hili
Lakini mtakumbuka kuwa naandika huu uzi baada ya.kupata.mke kupitia jukwaa hili la JF
Niende kwenye mada , ukitaka mchumba au mpenzi chukua hatua zifuatazo
1.JITATHIMINI, hii ni juu ya kutitazama na kuzungumza na.moyo wako unataka.mpenzi wa namna gani au mchumba wa kariba ipi ndipo chukua hatua ya siuala la.kutafuta mpenzi aidha.kupitia hili jukwaa au kanisani au kwenye sherehe maana mpenzi au mchumba hupatikana popote kwani waliopo huko majumbani ndio utaokutana nao kwenye social networks.
2. MTATHIMINI UNAYETAKA KUWA NAE,usikurupuke kwa uzuri wake na kuingia kwenye mahusiano anza kujua sifa zake usizamishe moyo wako kabla hujajiridhisha mimi nilimtafakari na kujiridhisha na kuona anafaa ndo maana nipo nae naye alinichunguza na nilimpa uhuru wote wa yeye kunichunguza na kunitafakari juu ya maisha ya mapenzi yangu kwake
3.MCHUKULIE KAMA RAFIKI, msome tabia na ukiona ana sifa zile unazopenda na unazotaka zile za malengo ya mbali unaweza kuruhusu moyo wako kupenda utampenda zaidi ukijiridhisha.kuwa yule uliye nae ana sifa za kwenda safari ndefu au fupi mweke karibu na uanze kupima utu wake.
4. CHUNGUZA UPENDO, jenga tabia ya kutathimini kama ana upendo wa dhati kwako havutiwi na tamaa si mtu wa kuendekeza starehe ni mvumilivu pia anakujali kama yeye unavyomjali? je anaguswa na matatizo yako kama wewe unavyoguswa ? Hakika mtu hawezi ficha tabia hata kama mtakaa hata kwa miezi 3 hadi mitano
Mwisho muombe mungu na uanze kuzungumzia mipango ya ndoa kwa msaada wake mtafanikiwa safari yenu anzeni na mungu kuanzia hatua ya kwanza hadi mwisho.
Thanks
Rs
 
UMESAHAU, INAANZA PESA, NA KAMA HUNA UTAKUJA HAPA KULIA LIA SIKU MOJA, WEKA HAYA MANENO KWENYE KUMBUKUMBUKU
 
Back
Top Bottom