Maana sahihi ya neno 'boma'?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia Kwenu wana JF,
Kuna neno "Boma" huwa linatumika sana hapa kwetu tanzania wakimaanisha ni jengo chakavu au pagale! Boma kwanza si neno la kiswahili bali ni kifupisho cha British Overseas Management Administration na walijenga wa-british kama sehemu zao za majengo ya utawala ya makoloni yao,na kwa hapa tanzania karibu mikoa mingi ina Boma kwamfano Bagamoyo,Moshi,tanga na pia dsm ILALA BOMA.
 
Huko niliko Malawi Boma lina maana mbili (a) Serikali na (b) Wilaya.
 
Kukopa na kuyarasmisha maneno kwa kuyapa tafsiri pana kwa kadiri ya matumizi yanayohitajika.
 
British Overseas Management Administration? Most likely a myth from folk etymology. Wanaisimu wengine wameliona neno hilo likitumika hata kabla ya Waingereza kujenga maboma yao. Na wengine wanasadiki pengine ni neno lenye asili ya Ajemi. Ngoja nitakutafutia marejeleo, kama unataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…