King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia Kwenu wana JF,
Kuna neno "Boma" huwa linatumika sana hapa kwetu tanzania wakimaanisha ni jengo chakavu au pagale! Boma kwanza si neno la kiswahili bali ni kifupisho cha British Overseas Management Administration na walijenga wa-british kama sehemu zao za majengo ya utawala ya makoloni yao,na kwa hapa tanzania karibu mikoa mingi ina Boma kwamfano Bagamoyo,Moshi,tanga na pia dsm ILALA BOMA.