Maana ya 7800/=?

Shukrani mkuu..
Sasa nimeelewa na kucheka sana ...mpaka sasa hivi nina kwikwi sababu ya kucheka..

Jamaa vita ya visu yeye kaenda na mabomu kuharibu kabisa😂😂😂
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Shukrani mkuu..
Sasa nimeelewa na kucheka sana ...mpaka sasa hivi nina kwikwi sababu ya kucheka..

Jamaa vita ya visu yeye kaenda na mabomu kuharibu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nadhani tuko wawili ambao hatuelewi..
Mwenye kuelewa atueleze...au kama kuna uzi unazungumzia aweke link hapa
Hata mimi sijaelewa 7800 au mabaharia sijui nininini
Acha tusome huo uzi labda tutagundua jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…