Mkuuwanchi
Member
- Dec 16, 2017
- 84
- 68
Ubeberu ni imperialismNi mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.
*Wahenga waliona mbali sana mpaka Macapitalists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.
Kwani kuna ubaya kuitwa beberu? Au unataka tu kuitwa mnyonge? Hivi na wasio mabeberu ndo mbuzi jike?Ni mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.
*Wahenga waliona mbali sana mpaka Maimperialists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.
Safari hii watajihudumia wenyewe wachumba Africa wameisha.Beberu...
View attachment 970573
Naona anakamua kwa kwende mbeleBeberu...
View attachment 970573
BOER = BEBERUNi mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.
*Wahenga waliona mbali sana mpaka Maimperialists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.