Maana ya beberu

Maana ya beberu

Mkuuwanchi

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
84
Reaction score
68
Ni mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.

*Wahenga waliona mbali sana mpaka Maimperialists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.
 
*Wahenga waliona mbali sana mpaka Macapitalists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.
Ubeberu ni imperialism
Na ukoloni mambo leo ni neo colonialism
Ukabaila na ukupe ni feudalism.
P
 
Beberu...
1545055426108.jpeg
 
Ni mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.

*Wahenga waliona mbali sana mpaka Maimperialists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.
Kwani kuna ubaya kuitwa beberu? Au unataka tu kuitwa mnyonge? Hivi na wasio mabeberu ndo mbuzi jike?
 
Ahsante bro! hayo ndio matunda ya sustainble understanding, Unajua kumsahisha mtu kiweledi, na hapo ndio nimeamini kuwa ww ni Msukuma-huwaga hamna mauchoyo, sema wale jamaa zako......
 
Ni mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.

*Wahenga waliona mbali sana mpaka Maimperialists wakayaita kwa Kiswahili ni MABEBERU.
BOER = BEBERU
 
Back
Top Bottom