Maana ya dhana hizi za Kiuchumi kwa Kiswahili

Maana ya dhana hizi za Kiuchumi kwa Kiswahili

Cost Benefit Analysis --- uchanganuzi wa manufaa ya gharama
Cost effectiveness --- umilisi/uakibifu wa gharama
Value for Money --- thamani ya fedha
Cost efficiency --- ufanisi wa gharama
 
Naomba kujua kiswahili Cha
Cost Benefit Analysis
Cost effectiveness
Value for Money
Cost effeiciency
Ulinganisho wa gharama na faida
Matokeo (athari) za gharama
Thamani (ya kitu/jambo) kipesa/kifedha
Udhibiti wa gharama
 
Back
Top Bottom