Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh......nazisikia sikia tu. Naona zinafanana na jamii za watu wale.Kuna sherehe zinaendelea nchi za wenzetu..maarifu kama Halloween.
Wajuvi mtupe historia yake na zina maana gani.
View attachment 3141207
Kuna sherehe zinaendelea nchi za wenzetu..maarifu kama Halloween.
Wajuvi mtupe historia yake na zina maana gani.
View attachment 3141207
Zingatia colour black and white ,Duuh......nazisikia sikia tu. Naona zinafanana na jamii za watu wale.
Hapo sasa. Sema Rangi nyeusi inatisha so hapo wameenda na uhalisia.Zingatia colour black and white ,
kwanini isingekuwa hiyo colour white ndio inawekwa kwenye jeneza!!
Kwani hapa anawekwa au anatolewa ?Zingatia colour black and white ,
kwanini isingekuwa hiyo colour white ndio inawekwa kwenye jeneza!!
anawekwaKwani hapa anawekwa au anatolewa ?