Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Hivyo ni vyeo kanyaboya tu, havina maana yoyote ile katika maisha ya wananchi kwenye nchi hii.hivi meyor ana kaz gani katka jiji? na mkurugenzi wa jiji nae ana kaz gan
Meya angefanya nini hapo mstari mbele? Waacheni wenye utaalamu wafanye kaziKwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Mwenyekiti wa kaamati ya Maafa kitaifa ni waziri Mkuu, na Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya maafa katika mkoa husika.Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Tatizo idara za Uokoaji na Zima moto ziko centralized na Hazina vifaa Wala watu wa kutosha.Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Chama cha Demokrasia na MaendeleoKwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Umeshasema ajali halafu hapo hapo unauliza serikali imejifunza kitu gani!. Imetokea ajali kubwa huko DRC wachimbaji wadogo wamefukiwa na udongo, serikali yao inajifunza kitu gani?.Hivyo ni vyeo kanyaboya tu, havina maana yoyote ile katika maisha ya wananchi kwenye nchi hii.
Ajali hii ya kuporomoka kwa jengo huko Kariakoo imeivua nguo tena Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena.
Ajali ya kudondoka kwa ndege ya Precision Air kule Bukoba, Serikali haikujifunza kitu!
Ajali ya maporomoko ya matope kule Hanang mkoani Manyara, Serikali haikujifunza kitu!
Na ajali nyingine nyingi ambazo zimewahi kutokea, nazo Serikali haikujifunza kitu!
Serikali hii ni kama sikio la kufa ambalo halisikii dawa. Badala ya kununua vifaa vya uokozi kwa ajili ya utayari wa kupambana na majanga, yenyewe inanunua silaha za kijeshi ili kupambana na Waandamanaji kwa lengo la kulinda utawala usiondolewe madarakani! Yaani ni hovyo kabisa nchi hii.
Tatzo mboga mboga wana wekana kwa kujuana na sio kiuweledi.Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Mkuu wa mkoa Chalamila, kumbuka kamati ya ulinzi na usalama ipo chini yake.Chalamilia na mawaziri wanafanya nini hapo??
Inasikitisha sanaHivyo ni vyeo kanyaboya tu, havina maana yoyote ile katika maisha ya wananchi kwenye nchi hii.
Ajali hii ya kuporomoka kwa jengo huko Kariakoo imeivua nguo tena Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena.
Ajali ya kudondoka kwa ndege ya Precision Air kule Bukoba, Serikali haikujifunza kitu!
Ajali ya maporomoko ya matope kule Hanang mkoani Manyara, Serikali haikujifunza kitu!
Na ajali nyingine nyingi ambazo zimewahi kutokea, nazo Serikali haikujifunza kitu!
Serikali hii ni kama sikio la kufa ambalo halisikii dawa. Badala ya kununua vifaa vya uokozi kwa ajili ya utayari wa kupambana na majanga, yenyewe inanunua silaha za kijeshi ili kupambana na Waandamanaji kwa lengo la kulinda utawala usiondolewe madarakani! Yaani ni hovyo kabisa nchi hii.
Nadhani tuanzie kutafuta maana na uahalali wa nchi na serikali kabla ya kushuka kwenye jiji.Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
Jiji lina wajibu mkubwa zaidi kuwa mstari wa mbele katika kushughulika na majanga katika eneo lake la utawala,Nadhani tuanzie kutafuta maana na uahalali wa nchi na serikali kabla ya kushuka kwenye jiji.
Kama nchi tumejisahahu sana katika masuala ya ulinzi na usalama wa raia. Serikali imejikita kusaka wenye mawazo pinzani na wapinzani.
Vyombo vya dola vipo kwa ajili ya ulinzi na usalama wa viongozi wa serikali.
Imefikia kipindi serikali yetu haina taasisi imara zenye utayari wa kudhibiti viashiria vya ajali na majanga!
Taasisi zilizopo hazina vifaa na weledi wa kisasa kupunguza madhara ya majanga kwa kufanya uokozi kwa wakati.
Rejea ajali ya Mv. Bukoba... Ajali ya Mv. Spice Islander... Ajali ya Precision... n.k. Changamoto ni zile zile... Uhaba wa vifaa... Uduni wa weledi!
Wao viongozi wa serikali wanawaza sifa na ufahari tu... Magari ya kifahari! Matumizi ya anasa na majengo ya kifahari pekee!
Cha ajabu ukianza kuhoji majukumu ya serikali kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia wake watakuja watu kina jingalao wakwambie wewe huoni serikali inagharamia matibabu na gharama za mazishi? Wewe umechangia nini??
Manunuzi ya V8 yapunguzwe, pesa zielekezwe sehemu muhimu zaidi.Tatizo idara za Uokoaji na Zima moto ziko centralized na Hazina vifaa Wala watu wa kutosha.
Niko Wilaya Moja ambako Kuna askari wa 3 tuu wa zama moto hawanaofisi Wala gari lolote achilia mbali vifaa vya Zima moto πππ
Hii idara irejeshwe chini ya Halmashauri na ipewe vifaa na mafunzo
Mkubwa ukifuatilia kwa karibu utabaini kuwa uozo ni serikali kuu shuka taratiibuuu hadi vijijini.Jiji lina wajibu mkubwa zaidi kuwa mstari wa mbele katika kushughulika na majanga katika eneo lake la utawala,
Bora hata asionekane maana ataanza kumsifia Rais pekeeKwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!
"Hivyo ni vyeo kanyaboya tu, havina maana yoyote ile katika maisha ya wananchi kwenye nchi hii.
Ajali hii ya kuporomoka kwa jengo huko Kariakoo imeivua nguo tena Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena.
Ajali ya kudondoka kwa ndege ya Precision Air kule Bukoba, Serikali haikujifunza kitu!
Ajali ya maporomoko ya matope kule Hanang mkoani Manyara, Serikali haikujifunza kitu!
Na ajali nyingine nyingi ambazo zimewahi kutokea, nazo Serikali haikujifunza kitu!
Serikali hii ni kama sikio la kufa ambalo halisikii dawa. Badala ya kununua vifaa vya uokozi kwa ajili ya utayari wa kupambana na majanga, yenyewe inanunua silaha za kijeshi ili kupambana na Waandamanaji kwa lengo la kulinda utawala usiondolewe madarakani! Yaani ni hovyo kabisa nchi hii."