Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

kitendo cha TAMISEMI kuirudisha kwenye ofisi ya Rais,basi ujue waziri kuu,wabunge ,mameya madiwani ,wakurugenzi ote wanafuata maelekezo kutoka ofisi ya Rais hawana kazi wala uwezo wa kufanya chochote,hadi watumwe cha kufanya na akijiamulia kufanya anavyotaka basi akiteleza kidogo litakalomkuta litakua lake na lawama zote .

wenyekazi hapa kwasasa ni utawala. Rais ,wakuu wamikoa,wakuu wa wilaya,wenyeviti wa vijiji watendaji wakata na vijiji. ndio hao waliotumwa kuvuruga uchaguzi hapa. kijiji/kata yako wakipitishwa mpinzani ujue umekalia kutikavu.
 
Back
Top Bottom