PrinceNdiba Member Joined May 11, 2019 Posts 5 Reaction score 5 Dec 20, 2024 #1 Butesi ni jina la kike la Kihaya. Je lina maaana gani kwa anayejua?
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Dec 20, 2024 #2 PrinceNdiba said: Butesi ni jina la kike la Kihaya. Je lina maaana gani kwa anayejua? Click to expand... Ngoja waje wahaya,huna hata jirani muhaya kamuulize!
PrinceNdiba said: Butesi ni jina la kike la Kihaya. Je lina maaana gani kwa anayejua? Click to expand... Ngoja waje wahaya,huna hata jirani muhaya kamuulize!
PrinceNdiba Member Joined May 11, 2019 Posts 5 Reaction score 5 Dec 20, 2024 Thread starter #3 😅😅Hawa jirani zangu wote ni wahaya wa mchongo, waliozaliwa hapa mjini na kukulia hapa mjini.