LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika.
But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" .
Tanganyika means = The first Land ama nchi ya kwanza/ .
How and why?
Tanga = A kwanza/ Alie tangulia.
Una kumbuka utotoni tulikuwaga tunacheza ya " Nimekutanga"
Ukiwa wa kwanza kuwahi au kufanya kitu unakuwa umewatanga wenzako.
Mfano umewahi kumaliza homework kabla ya wenzako, unakuwa umewatanga wenzako.
Umekuwa wa kwanza kufika uwanjani au shuleni = umewatanga wenzako.
So Tanga = A kwanza.
Nyika = Nchi/Ardhi.
So Tanganyika means = Nchi ya kwanza.
Upo uwezekano mkubwa sana watu wa kwanza duniani waliishi kwenye nchi ya Tanganyika. Ndio maana ikaitwa " Tanganyika"
Alie waumba watu wa kwanza na kuwaleta duniani atakuwa aliwa seed kwenye nchi ya Tanganyika.
Why?
Common Sense ina suggest hivyo than otherwise.
How?
Zipo factor kadhaa zinazo suggest kwamba hata alie waumba watu na kuwaleta duniani aliwaweka kwenye nchi ya Tanganyika.
Mifano: Good geographical position: 👇👇👇👇
Uwepo wa maziwa makubwa matatu duniani plus maziwa mengine madogo madogo yasiyo na idadi plus mito mikubwa na midogo isiyo na idadi.
Uwepo wa bahari, hali ya hewa nzuri, ardhi yenye rutuba, mbuga za wa nyama kubwa kubwa etc vyote vina suggest kwamba alie waumba wanadamu aliwa seed kwenye nchi ya Tanganyika.
( Hata ningekuwa mimi ndo nimewaumba watu aisee nisingewapeleka sehemu yoyote ile hapa duniani tofauti na Tanganyika. )
Kuna watu wana amini kwamba mwanadamu wa kwanza eti aliishi Iraq. Like seriously? Yani alie waumba aache kuwaweka kwenye eneo zuri kijiografia kama Tanganyika then awapeleke Iraq? Ata Ole Gunnar ata Guna.
Alie waumba wanadamu kuwa seed Iraq badala ya Tanganyika is something that is so assymetrical and illogical.
Science pia ina suggest kwamba watu wa kwanza waliishi Tanganyika( Refer ugunduzi wa Dokta Leakey @ Old Vai Gorge)
Corroboration Evidence:
Huko Oceania karibu na Australia kuna visiwa vinaitwa " Fiji" . Watu wa Fiji wanajua kwamba asili Yao ni nchi ya Tanganyika. Babu zao walitoka Tanganyika miaka elfu hamsini iliyo pita na kwenda kuanzisha maisha huko Fiji..
Miaka Elfu Hamsini iliyo pita ilikuwepo Tanganyika...
Ndio maana huwa nawaelewa Sana watu kutoka nje ya nchi yetu wanao kuja kupanda Mlima Kilimanjaro kila mwaka.
Ninayo yafahamu kuhusu Mlima Kilimanjaro ambao kwenye Bible umetajwa kama Mlima wa Mashariki ni mazito kushinda Kabwe
Hata Menelik mtoto wa Queen of Sheba na King Suleiman Ibn Daud alifia juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro akiwa na "Sanduku la Agano" la wayahudi.
Mount Kilimanjaro is the physical portal which connects the earth ( and the whole obseverble universe) with the throne room of the heavens.
Mlima Kilimanjaro ndio mlima mrefu kupita yote duniani( Kilaza atasema eti ni Mlima Everest)
Mount Everest is not a real mountain. It is a range of mountains.
Mount Kilimanjaro is the most tallest free standing mountain on the face of planet earth.
Saidia kilaza = Mlima Everest ni sawa na uchukue meza kumi zenye urefu wa mita kumi kila moja kisha uzibebanishe. Jumla utapata kita Mia.
Ila Mlima Kilimanjaro = Meza moja ambayo ina urefu wa mita Mia nane...
.......
" Watoto" Wa Ibrahim wangeijua nchi Yao Tanganyika, wangekuwa wana hiji hapa hapa Tanganyika.
Mama Samia Suluhu Hassan, Naomba unipe ofisi maalumu nikuletee watalii Bilioni moja kwa mwaka kupitia jina Tanganyika.
Ramadan Kareem
🙏🙏🙏🙏🙏🙏