Tanzania pekee ndo kuna karibia 90% ya wanyama wote waliotoka kweny safina ya nuhu,
Pia ndo sehemu Pekee duniani ambapo kuna mahali unaweza pata hali zote za hewa dunian ambapo ni mlima Kilimanjaro.
Kiswahili ndo Lugha itayofanya Muarabu na mwafrika waabudu pamoja.
Nabii Isaya aliyaona haya miaka maelfu iliyopita ukisoma
Isaya 19:23
Katika siku hiyo itakuwako njia kuu(kiswahili) itokayo Misri na kufika hata Ashuru(Uarabuni); Mwashuri atafika Misri, na Mmisri atafika Ashuru, na Wamisri wataabudu pamoja na Waashuri.
Yapo mengi sana na vikundi vya siri wanajua ila hawataki kusema ili watu waendelee kuwa na utumwa wa kifikra.