Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a well introspection emt
ni kweli kuwa presidential pardon inatoa forgiveness of a crime, cancellation of a penalty na restoring of ones' civil rights.
Parole inatoa mwanya wa kupunguza adhabu(lessening of a penalty) but without forgiveness for a crime. Hii huambatana na probation period. Utapata restoration of civil rights but with limitations. Mfano katika marekani wafungwa hujaza restoration of civil rights forms zinazoambatanisha hizo limitations. Katika tanzania baada ya kupata huruma ya parole utakuwa huru nje ya gereza kama raia yeyote ukiendelea na shughuri zako lakini utakosa zile haki ambazo zimeambatanishwa kisheria ku_exclude wale wote waliowahi kupatikana na hatia ya jinai mahakamani eg. The national elections act(1985) hairuhusu mgombea wa nafasi ya kisiasa kuwa na doa la hatia ya jinai.
Ila sasa nami umenichemsha bongo unaposema beneficiary wa presidential pardon hatakuwa tena na criminal records. Nachelea(legally) kusema kuwa forgiveness of a crime leads(amounts) to decontamination of criminal records. Hapa naomba nikiri sina precedence ya kusimamia. Nadhani tunahitaji utafiti wa ziada maana kwa tafsiri yangu maneno yako haya yananijengea dhana kuwa ikiwa huyu beneficiary kwa mara nyingine akipandishwa kizimbani kwa kosa jingine basi waendesha mashtaka na hakimu hawataruhusiwa kutumia criminal records zilizopelekea kifungo na baadae msamaha wa rais hapo nyuma.
Hmm...mbona kama unazungumzia/umeulizia expungements hapo. Maana kwenye expungement ndiyo kuna kufuta kabisa hiyo rekodi ya uhalifu na kufanya kuwa kama hakukutokea kitu.
Sasa rais huwa anatoa expungements au huwa anatoa misamaha/ pardons (forgiveness)? Na kwenye misamaha sidhani kama rekodi inafutika.
Maana kama mtu ni convicted felon na kapewa tu msamaha na rais sioni kwa nini hiyo kumbukumbu ifutike.
But what do I know...mi mbeba maboksi tu:smile-big:.
umedadavua vizuri, je una rejea yoyote?
Nadhani tunahitaji utafiti wa ziada maana kwa tafsiri yangu maneno yako haya yananijengea dhana kuwa ikiwa huyu beneficiary kwa mara nyingine akipandishwa kizimbani kwa kosa jingine basi waendesha mashtaka na hakimu hawataruhusiwa kutumia criminal records zilizopelekea kifungo na baadae msamaha wa Rais hapo nyuma.
Hmm...mbona kama unazungumzia/umeulizia expungements hapo. Maana kwenye expungement ndiyo kuna kufuta kabisa hiyo rekodi ya uhalifu na kufanya kuwa kama hakukutokea kitu.
Sasa rais huwa anatoa expungements au huwa anatoa misamaha/ pardons (forgiveness)? Na kwenye misamaha sidhani kama rekodi inafutika.
Maana kama mtu ni convicted felon na kapewa tu msamaha na rais sioni kwa nini hiyo kumbukumbu ifutike.
But what do I know...mi mbeba maboksi tu:smile-big:.
Nafikiri expungement inatumika zaidi kwenye minor offences (http://www.sccourts.org/selfHelp/FAQFinalExpungementPardon.pdf). Pia expungement haitumiki kwenye nchi zote.
Kwa mfano, inatumika Marekani ambapo mahakama ina "seal" a person criminal records from the public records.
Technically, mtu anaweza kusema kuwa hizo records hazijafutwa bali zimekuwa "sealed" from the public records.
Kwa upande wa Uingereza they don't expunge criminal records, rather a conviction is regarded as "spent" baada ya muda fulani kupita (kulingana na nature ya offence yenyewe, of course).
Nadhani tofauti kubwa kati ya expungement na pardon ni kwamba expungement inatolewa na mahakama wakati pardon inatolewa na Rais.
Hata hivyo, mtu ambaye amepewa msamaha na Rais still bado atatakiwa ku-disclose kosa alilokuwa ametenda kama akitakiwa kufanya hivyo.
Na je, kama mtu alikuwa wrongfully convicted kwa kosa la jinai (tuseme kubaka) halafu baadae ikaja kugundulika kwa kutumia nyenzo kama DNA kwamba hakubaka na hakuhusika kabisa kwa namna yoyote ile na uhalifu aliotuhumiwa kuutenda, hapo inakuwaje?
Hiyo wrongful conviction itakuwa overturned. Je, overturning ni sawa expungement au ni sawa na 'found not guilty'?
Au hilo ni suala ambalo mahakama/jaji/hakimu ataliangalia na kwa kutumia judicial discretion yake na kuamua inakuwaje?