Maana ya kupenda

Maana ya kupenda

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
Kupenda ni kule kuwa na hisia nzito juu ya mtu mwingine,na ktk suala hili ,juu ya mwanamke kama u mwanaume au juu ya mwanaume kama u mwanamke...hisia nzito inamaana kwa namna nzuri,namna njema,si kwa namna ya huzuni...Ukimpenda mtu ww humuwaza,hutaka kumuona,huhisi unamuhitaji sana...Hutaka awe ktk hali nzuri,furaha..na apatapo uchungu wewe pia hupata uchungu
hisia namna hiyo huitwa MAPENZI
reference
MPENZI 2,UK WA 145 PARAGRAPH YA MWISHO KUTOKA CHINI.
Mnasemaja wadau,kipi kipunguzwe na kipi kiongezwe?
Au hiv hiv imetulia?
 
Back
Top Bottom