Maana ya maisha mazuri

Maana ya maisha mazuri

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.

Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2. Kuwa na nguo nzuri na za bei ya juu kuliko marafiki zako.
3. Kuwa na shepu nzuri, makalio makubwa na rangi nzuri (ya mtume).
4. Kutongozwa na kila mwanaume.

Asanteni kwa kunielewa.
 
Namba 3 Kwa wanawake inasemaje?
IMG-20250121-WA0058.jpg
 
Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.

Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2. Kuwa na nguo nzuri na za bei ya juu kuliko marafiki zako.
3. Kuwa na shepu nzuri, makalio makubwa na rangi nzuri (ya mtume).
4. Kutongozwa na kila mwanaume.

Asanteni kwa kunie

Ni mtazamo tu hatupo sawa.
 
Tatizo sio mwanaume bora bali mwanaume tajiri wa mitoko ya nje ya nchi na kununua nguo ghali kuliko za mashosti

Bado kugharamia surgery ya nyaaash ili nitongozwe na kila mzabzab
Kumbe unataka nyash....kumbe unatambua umuhimu wa tako eeeh.
Mwanaune tajiri kwanza hapendi tako wao wanapenda titi
 
Si hapo juu wamekiweka kama kigezo mkuu au hujausoma uzi vizuri jamani

Back
Top Bottom