Maana ya maisha mazuri

Maana ya maisha mazuri

Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.

Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2. Kuwa na nguo nzuri na za bei ya juu kuliko marafiki zako.
3. Kuwa na shepu nzuri, makalio makubwa na rangi nzuri (ya mtume).
4. Kutongozwa na kila mwanaume.

Asanteni kwa kunielewa.
Status Anxiety.
 
Maisha mazuri wala hayahitaji mashindano.
 
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.

kumbe na hii ni maisha mazuri?
Duh noma
 
Back
Top Bottom