Namba 3 Kwa wanawake inasemaje?Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.
Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2. Kuwa na nguo nzuri na za bei ya juu kuliko marafiki zako.
3. Kuwa na shepu nzuri, makalio makubwa na rangi nzuri (ya mtume).
4. Kutongozwa na kila mwanaume.
Asanteni kwa kunielewa.
Kwa wanaume ni;-

Asanteni kwa kunie
Ni mtazamo tu hatupo sawa.Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.
Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2. Kuwa na nguo nzuri na za bei ya juu kuliko marafiki zako.
3. Kuwa na shepu nzuri, makalio makubwa na rangi nzuri (ya mtume).
4. Kutongozwa na kila mwanaume.
Asanteni kwa kunielewa.
😁😁 mkuu milo mitatu mbona ni mingi sana simtakua wanono sana?kwangu mimi na familia yetu, tukiwa na afya Bora.
uhakika wa Milo 3-9, sehemu tunayo weza jivunia Kama makazi.
hayo mengine ni majaliwa tu, Kumbuka juhudi hazi shindi kudra.
Sasa raha ya dunia sii ni kula na kugegeda...wacha wale😁😁 mkuu milo mitatu mbona ni mingi sana simtakua wanono sana?
Olewa upate vyoteSina vyoteView attachment 3221569
Olewa upate vyote
Kama hujapata mwanaume boraNdoa haina hivyo vyote ni stress tupu
Kama hujapata mwanaume bora
Kumbe unataka nyash....kumbe unatambua umuhimu wa tako eeeh.Tatizo sio mwanaume bora bali mwanaume tajiri wa mitoko ya nje ya nchi na kununua nguo ghali kuliko za mashosti
Bado kugharamia surgery ya nyaaash ili nitongozwe na kila mzabzab
Kumbe unataka nyash....kumbe unatambua umuhimu wa tako eeeh.
Mwanaune tajiri kwanza hapendi tako wao wanapenda titi
Sasa wee nyash huna?Si hapo juu wamekiweka kama kigezo mkuu au hujausoma uzi vizuri jamani
Sasa wee nyash huna?