Status Anxiety.Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.
Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2. Kuwa na nguo nzuri na za bei ya juu kuliko marafiki zako.
3. Kuwa na shepu nzuri, makalio makubwa na rangi nzuri (ya mtume).
4. Kutongozwa na kila mwanaume.
Asanteni kwa kunielewa.
Kabisa, kuna mtu ana hivyo vyote ila atakuambia maisha sio mazuri.Kila mmoja ana mtazamo wake kulingana na matamanio yake
EwaaahUna T3.
Tumbo, Tako na Titi
Sina vyotelView attachment 3221569
😅😅 Khee jamani, na bado upo haiSina vyoteView attachment 3221569
Acha tuu,Unakuwaje kwenye ghetto mtoto mzuri