Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
IronBroom kama nilivyodokeza na mimi nachangia tu uelewa na utohozi wangu lakini nadhani ukishasema senior lecturer ina encompass all................hence mhadhiri ,wandamizi inatosha na sijawahi kusikia hii yakoAmavubi, kwa mantiki hiyo hiyo je,nikisema mhadhiri mwandamizi mfawidhi kwa maana ya yule mhadhiri mwandamizi mkuu wa wahadhiri waandamizi katika chuo kikuu fulani nitakuwa sahihi?Lengo langu ni kujipima kama nimeelewa ulichosema ama la.
BashiteKIONGOZI WA MAHAKAMA KATIKA NGAZI YA MAHAKAMA YA WILAYA ANAITWAJE?