Maana ya mfawidhi, mwandamizi

Maana ya mfawidhi, mwandamizi

.............Mwandamizi nadhani ni senior yaani mtu wa cheo cha juu na aghalabu hutumika katika tasnia ya elimu....nasubiri wadau kwa mfawidhi..........
 
nimeona mfawidhi inaonesha kiongozi wa eneo fulani kwamba kwa hapo yeye ndiye mkuu (master) hata MC unweza kumuita mfawidhi......................KWA LUGHA YA MAHAKAMA HAKIMU MFAIWDHI MAANA YAKE YEYE NDIYE KIONGOZI WA MAHAKIMU KATIKA MAHAKAMA HIYO AGH. HUTUMIKA KWENYE MAHAKAMA ZA HAKIMU MKAZI HAPO KUNAKUWA NA MAHAKIMU WENGI HENCE MFAWIDHI NI YULE KIONGOZI WAO HATA KTK JOPO LA MAAMUZI NA UTAWALA
 
Amavubi, kwa mantiki hiyo hiyo je,nikisema mhadhiri mwandamizi mfawidhi kwa maana ya yule mhadhiri mwandamizi mkuu wa wahadhiri waandamizi katika chuo kikuu fulani nitakuwa sahihi?Lengo langu ni kujipima kama nimeelewa ulichosema ama la.
 
IronBroom kama nilivyodokeza na mimi nachangia tu uelewa na utohozi wangu lakini nadhani ukishasema senior lecturer ina encompass all................hence mhadhiri ,wandamizi inatosha na sijawahi kusikia hii yako
 
Back
Top Bottom