ndugu zanguni nimeona kwenye gari msemo huu "Nguruwe pita leo sina mkuki";
nakumbuka Malila alshawahi kuutuo katika one of the post, pia nadhani (sikumbuki vizuri) kuna member mmoja ana signature yenye msemo huu.
sasa nauliza maana ya msemo huu ni nini?