BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua.
Vitu Vinavyosababisha Mtu Kupata Msongo wa Mawazo Kuna sababu nyingi zinazosababisha mtu kupata msongo wa mawazo, baadhi ya sababu hizo ambazo zimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni kibiologia na kisaikolojia.
Sababu za kibiologia
o Mtu kurithi vinasaba kutoka kwa mzazi/ wazazi
o Magonjwa ya muda mrefu kama UKIMWI, figo, ini, moyo nk.
Sababu za kisaikolojia
o Matukio yasiyofurahisha kama Ubakaji,Uvamizi, Ajali au Kufiwa, au
kutekwa nyara
o Majanga kama Kimbunga, Mafuriko, Tetemeko la ardhi n.k
o Changamoto za kila siku za maisha Ugoni, Talaka, Mimba kuharibika, Kutoa mimba, Kutengana,
Kufungwa, Kuuguza au Kukosa kazi.
o Matatizo sehemu za kazi
Kufukuzwa kazi / Chuo, Migogoro kazini au Kustaafu kazi.
o Mambo ambayo yanategemewa mtu kufurahi yanaweza kumsababishia msongo wa mawazo kama
Kuoa au Kuolewa, Kuzaliwa mtoto, Kufaulu mtihani,Ajira mpya, kuhamia nyumba mpya, Kupata ujauzito
nk
Dalili za Msongo wa Mawazo
o Maumivu ya sehemu mbalimbali za mwili hasa kichwa na kifua
o Kuwa na huzuni na kujisikia mnyonge
o Kusahau na kukosa uwezo wa kufikiri vyema
o Kujihisi kuchoka na kukosa ari nya kufanya kazi,
o Kuwa na hofu na kutokujiamini
o Kushindwa kufanya maamuzi sahihi,
o Kushindwa kula au kula sana,
o Kukosa hamu ya tendo la ndoa
o Kupungua uzito au kuongezeka uzito
o Kubadilika kwa siku za hedhi au kutokuona kabisa
o Kulala muda mfupi na muda mwingi kuwa macho usiku
o Kukosa choo kwa muda mrefu
o Kutaka kujiua au kuwa na mawazo ya kujiua
Athari za Msongo wa Mawazo
Athari za Msongo wa Mawazo zinaweza kuwa za kihisia au kitabia
Athari za Kihisia
o Kuwa na hofu kupita kiasi
o Kuwa na mfadhaiko na
o Kuwa na hisia za kukosa ulinzi
o Kusahau na kushindwa kufikiria ipasavyo
o Kukosa utulivu na kuwa na huzuni.
Athari Kitabia
o Kula sana/-kushindwa kula
o Kubagua aina za vyakula.
o Kuwa na hasira
o Kunywa pombe kupita kiasi au Kutumia madawa ya kulevya,
o Kupenda kuwa mwenyewe na
kujitenga na jamii