Maana ya mtaalamu

Maana ya mtaalamu

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977


Huyo ndio mtaalamu ni mtu ambae anaijua physics from scratch (hizo ni elementary concepts kajitolea kufundisha kuhusu how the universe works).

Sio tu kwamba ameisoma

Anafundisha at top university

Ame andika vitabu best sellers

Anashiriki kwenye debate za wasomi wenzake to name a few of his credentials

Sasa kwetu kuna watu kwenye vipindi vya TV wanaitwa kudadavua issues wenye degree tena pengine ata ufaulu wao sio mzuri tunaita wataalamu. Ukisikiliza ujinga mtupu.

Hivi nyie watu mnamjua mtaalamu au msomi.

Najua inakera na haya mambo sio ya kumpa mtu popularity kwa jamii za watanzania ila huo ndio ukweli.

Msiite watu wajinga wajinga wataalamu
 
Umenena vyema.
Huku bongo kama vile hakuna wataalamu. I watch a lot of science shows on DStv kwa kweli tuko nyuma sana

Ila wapo wajuzi wa mambo.
 
Back
Top Bottom