Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Huyo ndio mtaalamu ni mtu ambae anaijua physics from scratch (hizo ni elementary concepts kajitolea kufundisha kuhusu how the universe works).
Sio tu kwamba ameisoma
Anafundisha at top university
Ame andika vitabu best sellers
Anashiriki kwenye debate za wasomi wenzake to name a few of his credentials
Sasa kwetu kuna watu kwenye vipindi vya TV wanaitwa kudadavua issues wenye degree tena pengine ata ufaulu wao sio mzuri tunaita wataalamu. Ukisikiliza ujinga mtupu.
Hivi nyie watu mnamjua mtaalamu au msomi.
Najua inakera na haya mambo sio ya kumpa mtu popularity kwa jamii za watanzania ila huo ndio ukweli.
Msiite watu wajinga wajinga wataalamu