Nina gari ndogo,
katika upande wa air condition ya gari, kuna button mbili,
moja imeandikwa A/C na nyingine Eco A/C,
je kuna yofauti gan kat ya hzo mbili ktk matumizi..
Mkuu hata kwenye fridge kuna freeze na superfreeze. Maana yake ubaridi mkali A/C na ubaridi wastani Eco A/C. Pia kuna vent on and off ambayo zinatumia arrow hewa kutoka nje kuppozwana kuingia ndani ama hewa ya ndani kuchukuliwa kupoozwa kurudishwa ndani(vent off)