Maana ya neno BLACKMAIL "kiswahili"

blackmail, ni neon linalotumika sana na waandishi wa habari.... manna yake ni ile kumchafua mtu. ni kama kusikia skendo ya kanumba na lulu then unakuja kuiandika habar yenyew ili umchafue kweny jamii
 
Sio kweli bhana umekosa.
Hapo maana yake baada ya kuipata hiyo habari ya lulu na Kanumba unawatishia wahusika kuwa wasipokupa kiwango cha pesa unachotaka unairusha hewani ila wakikupa unauchuna.Hiyo ndo maana halisi.
Utapeli kupitia documents.
 
black
~mail
vt saliti; tisha mtu kwamba utafichua siri/maovu yake ili akupe fedha/upendeleo. n kupata pesa/ upendeleo kwa njia hii. ~mailer n msaliti.

source TUKI
 
blackmail, ni neon linalotumika sana na waandishi wa habari.... manna yake ni ile kumchafua mtu. ni kama kusikia skendo ya kanumba na lulu then unakuja kuiandika habar yenyew ili umchafue kweny jamii

Yani wewe ndo umepotea njia kabisaaaa.
 
blackmail, ni neon linalotumika sana na waandishi wa habari.... manna yake ni ile kumchafua mtu. ni kama kusikia skendo ya kanumba na lulu then unakuja kuiandika habar yenyew ili umchafue kweny jamii

daah, kweli ni hatari! hivi na wewe umesoma mpaka darasa la ngapi? ndiyo maana kumbe akina kikwete wanawachezea akili! kama hujui kwa nini usikae kimya?
 
Kwa ufafanuzi : lugha ya mtaani ni ''kupakazia'' ''Kumpakazia''.

Lugha sanifu :''Lungula'', ''Mlungula'', = ''Tishia upate pesa/faida'', ''Chongea''
 
nimependa tafsiri yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…