kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 483
hujumu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
blackmail, ni neon linalotumika sana na waandishi wa habari.... manna yake ni ile kumchafua mtu. ni kama kusikia skendo ya kanumba na lulu then unakuja kuiandika habar yenyew ili umchafue kweny jamii

nimependa tafsiri yako mkuu.Sidhani kama hilo neno lina maana kwa kutumia neno moja....
Ila ni kutumia ushahidi fulani au uelewa wako wa kitu fulani ambacho mtu amekifanya, kwa kumtishia afanye kitu unachotaka au akupe kitu fulani ili usiweke wazi kile alichokifanya (uendelee kukifanya kile kitu siri)