Maana ya neno hili

hillman

Senior Member
Joined
May 28, 2014
Posts
159
Reaction score
45
Et jaman anaejua maana halis ya neno NDONDWA aniambie, au kama kuna mtu ashalisikia,
 
silijui na wala sijawahi lisikia..

btw, lina uhusiano gani na MMU mkuu?

hebu edit thread fasta kabla wadau hawajajaa humu...
 
ndondwa....kwani wewe unalielwaje nasi tulijue....
 
Kila nen lina mikoa yake yake ya kulisema

wew upo mkoa gan inawezkna ni lahaja fulan?
 
ndondwa ni jina (kike) linatumiwa sana na kabila la wayao wa malawi likimaanisha nyota. kwa chichewa wanaita Nyenyezi
 
hilo neno kwenye kamusi ya Kiswahili fasaha halipo kabisa, au umeligeuza? hebu fanya herufi za mwisho ziwe za mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…